Je wajua SPIRIT mbali ya matumizi mengine tunayoyafahamu, pia inasafisha vizuri sana Kioo/Vioo.
Mwagia kwenye Kioo chochote kile, iwe cha kujiangalilia au iwe Kioo cha Mlango, Meza, N.K, kisha anza kufuta kwa Kitambaa.
Au ukipenda mwagia SPIRIT kwenye Kitambaa cha kufutia kisha endelea na zoezi lako la kusafisha.
Nakuahidi utakuja niletea marejesho hapa kwa jinsi SPIRIT inavyosafisha na kung'arisha sana