Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Kwa hiyo anaweza kucheza peke yake au una maana gani? Mashabiki wa Tanzania akili zenu mnazijua wenyewe.
Hapana mkuu....ila yule Ni game changer......Ni mmoja kat ya wachezaji wachache duniani wanaoweza kubadilisha matokeo muda wowote
Ronaldo
Messi
Mayele
Aziz ki
 
Epusha ukoo wako na aibu kama hizi bro. Utafunguaje thread yenye low IQ kama hii?
Mkuu ...una maanisha kocha la KOLO WIZARDS fc ana low thinking capacity (low IQ)
FB_IMG_16595196867541396.jpg
 
Habari ndugu Wana JF,

Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi.

...............

Vyanzo Kutoka kwa makolo

Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali (aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni, namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake.

My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"

Je, unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje

View attachment 2313557
Amemfunga simba goli ngapi vile
 
Back
Top Bottom