Hapana mkuu....ila yule Ni game changer......Ni mmoja kat ya wachezaji wachache duniani wanaoweza kubadilisha matokeo muda wowoteKwa hiyo anaweza kucheza peke yake au una maana gani? Mashabiki wa Tanzania akili zenu mnazijua wenyewe.
tabu iko palepaleVp umeona mziki wa singida big stars?.......sijui makolo wataponea wapi
Hujajibu nilichoulizaSource ni gazeti la michezo mkuu.......limemnukuu kocha zorani
Sasa huyu aliyelea hii masa ni mwanachuo wa chuo fulani hapa Tz, wewe unaona hocho kichwa kinapaswa kukabithiwa sehemu yoyote ile?Acha kudharau graduates
Miaka 46 nimeona mengiMkuu....una umri gani tuanzie hapo
Haiwezekani kuridharau gazeti la taifa
Labda klabu bingwa ya vilabu vya pombeNa bado kombe la klabu bingwa linakuja
Ni kama viazi vilivyoshindwa kuivaKama hawa ndio aina ya graduates tunaowatengeneza, taifa lina kazi kubwa sana.
Our graduates are half-backed.
Mmesahau mtoa mada sio Sunday Manara wala Jakaya Kikwete,
😄Msije mkaanza kulalama ligi ikianza
Amemfunga simba goli ngapi vileHabari ndugu Wana JF,
Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi la ufundi.
...............
Vyanzo Kutoka kwa makolo
Kocha wa makolo Zoran ameomba atumiwe video zote za mshambuliaji mkali (aliyechangia kocha Pablo) kutimuliwa pale ukoloni, namzungumzia Fiston Mayele ili aandae topic kwaajili ya kuwafua wachezaji wake.
My take
Imagine Zoran anataka kuandaa lecture itakayoitwa "how to handle Fiston Mayele"
Je, unazani Mayele Ni mchezaji wa kawaida? Binafsi naona Mayele = kikosi cha Simba + babra + mwamedi + bench la ufundi la kolo
Au nyie wapwa mmnasemaje
View attachment 2313557
Labda CUFHapana mkuu....kombe la CAF