BONDE LA KUKATA M
Member
- Mar 31, 2020
- 67
- 59
Tumsifu yesu Kristu, bwana yesu asifiwe, iweeeeeeeee, asyalemu aleku.
Kwanza niwashukuru wadau wote kwa kuendelea kudumisha jukwaa letu la JamiiForums, kweli mnastahili sifa.
Ngoja nije kwenye mada je unajua majibu ya maisha yako, yako ndani mwako? Mungu alivyokuumba aliweka majibu ya riziki zako kwenye mwili wako, hivyo usihuzunike kabisa ngoja nikupe mifano kidogo.
Elimu hai-guarantee wewe kuwa tajiri lakini utajiri hutokea kwa watu wanao jua siri hiii ndio maana unaweza shangaa wanaofanya biashara kubwa ni watu ambao hawajasomea, ila wanafanya biashara kwa ustadi mkubwa ni kwa sababu kile walichowekewa na Mungu ni talanta ya biashara
Nimechoka kesho nitaandika mengine.