TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Je wajua Kwa nini aliyekuwa Rais wa Gambia anaogopa kutoka madarakani baada ya kushindwa na mpinzani wake ...?
1. Kipindi cha uongozi wake aliua Sana wananchi waliokuwa wakikosoa utendaji wake.
2. Aliwafunga jela wapinzani wake
3. Alifisadi rasilimali za nchi hiyo Kwa kiwango cha juu.
Kwa maana hiyo anaona SOO kuachia madaraka Kwa kujua alichowafanyia raia wa Gambia soon kinaenda kumrudia.
HABARI HII IWE FUNDISHO KUBWA KWA VIONGOZI WENGINE WA KIAFRIKA IKIWEMO NCHI YETU YA ...................!!
Malipo ni hapa hapa katika uso wa dunia