Je wajua kuhusu vital 5 pack?

benywizo

Member
Oct 22, 2017
24
10
VITAL 5 PACK

“Mpango wa kuimarisha Afya "
Mara nyingi tumekuwa tukipata changamoto ya magonjwa mbalimbali na hatarishi kutokana na sumu tulizonazo mwilini hii ni Kwasababu ya vyakula tunavyokula,vinywaji na uchafuzi wa mazingira,sumu inaendelea kujijenga ndani ya miili yetu kila siku.Maisha bila kuwa matatizo ya kiafya yananza na uondoaji wa sumu mwilini.
Baada ya muda mifupa yako,mishipa ya damu,ngozi,mapafu,figo, moyo ,ubongo yanakuwa yameelemewa na sumu nyingi.Uwepo wa sumu nyingi ndani ya mwili husababisha magonjwa sugu kama vile cancer,kisukari,Matatizo ya pressure,cholestrol nyingi,kichwa kuuma mara kwa mara,kasi ya uzee,figo kufeli,matatizo ya tezi,matatizo ya choo.
Hivyo basi kutokana na sumu kuwa ni changamoto kubwa katika kuchangia kuwepo na kupata maradhi mbali mbali.

Vital pack ina bidhaa tano ndani yake navyo ni;
1.GEL : 4
Inasambaza virutubisho ambavyo mwili unahitaji.Husaidia ngozi kung’aa.Husaidia tatizo la choo.Huondoa uvimbe wowote ndani ya mwili.

2.PROBIOTIC:
Huzuia tumbo kunguruma. Pia Husaidia kuondoa tatizo la UTI. Inazuia uvimbe wa cancer.

3.L-ARGININE :
Husaidia kwenye hormonal imbalance.Inakupa nguvu ya kutosha.Husaidia insulin kuwa sawa.Hupunguza kasi ya kuzeeka.Ni chakula ya moyo.Husaidia kwenye tatizo la uzazi na kujenga misuli.

4.DAILY:
Ni mchanganyiko wa mbogamboga na matunda.Husaidia kutupatia mbogamboga na vyakula tunavyokosa kila siku.Husaidia kwenye tatizo ya macho,ngozi.

5.OMEGA 3&9:
Inabalance presha.Husaidia macho,ngozi na ubongo.Husaidia matatizo ya viungo.Pia husaidia matatizo ya nguvu ya kiume.

VITAL PACK program zimemwekwa kwenye mfumo wa unga,kinywaji na vidonge na hutumika kama lishe.Hizi bidhaa zinfanya kazi na kuondoa tatizo la sumu mwilini na kuongeza virutubisho na vitamins ili kurecover sumu zilizotolewa mwilini.

NB:Hizi sio dawa bali ni virutubisho asilia.
Kwa maelezo zaidi juu au namna ya kupata bidhaa hizo wasilian nasi kwa namba ;
Whatsapp/call

0655637250

vital-5-forever-living-products.jpeg
 
Hapa mtu kishauziwa kwa laki tano au zaidi ndio anapambana ili kupata wateja wa kuwaunganisha. Network market oyeee, ngoja nikupigie kuokoa jahazi
 
Back
Top Bottom