Je,wajua kuhusu mimi?

Operamini ina built-in VPN, hata kwenye smartphone ukitumia opera mini kuingia jf ina bypass fresh tu
 
Ila dole gumba lazima lipinde
 
Mimi huwa naunga kisichoisha muda haltel mb 200 tu nakaa hata miezi 2 bila kuisha...?
 
Mimi huwa naunga kisichoisha muda haltel mb 200 tu nakaa hata miezi 2 bila kuisha...?
Duuh kwaiyo nyie WhatsApp hampogo mimi bila smartphone naumwa kwanza sijawahi kaa mbali na simu yangu labda nikienda chooni tu
 
Wewe na mtoa mada ni Mapacha! Namaanisha Kulwa Biteko na Dotto Biteko?
 
Chuga inaitwa Tecno massai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…