Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,102
- 128,716
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu abstract zinazotumia holistic approach ya dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani.
Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio alikuwa malaika Mkuu!
Kuelekea uchaguzi mkuu wa。October,2025, hii mada elimishi ya kuwa elimisha watu humu kuhusu tawala za Kimungu na tawala za kishetani, na viongozi wa KiMungu na viongozi wa kishetani,ili October tuchague viongozi wa KiMungu tupate utawala wa KiMungu, tusije kuchagua tena viongozi wa kishetani wakaendeleza huu ushetani unaotokea Tanzania sasa!
Swali la kwanza ni
Bwana Mungu wa Majeshi asema "Tutawatambua kwa matendo yao"!.
Mungu Ibariki Tanzania!
Paskali
Rejea za mambo ya Mungu na shetani。

Je, wajua japo Mungu ndiye huweka tawala zote na serikali za mataifa?,hivyo tawala zote duniani na serikali zote duniani ni za Mungu na viongozi wote duniani,huwekwa na Mungu,ila kuna tawala na serikali,licha ya kuwekwa na Mungu,zinafanya kazi ya shetani,na vivyo hivyo kwa viongozi,licha ya kuwekwa na Mungu,viongozi hawa hufanya kazi ya shetani!,sasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa rais wabunge na madiwani, tusiruhusu ushetani kwa kuwachagua viongozi mashetani!,tuchague viongozi wa Mungu wenye roho wa Mungu ndani yao,ili tupate utawala wa Mungu na serikali ya Mungu!。
Mtihani mkubwa na changamoto kubwa ni tutawatambuaje hawa ni viongozi wa KiMungu tuwachague, na hawa ni wa kishetani, tusiwachague ?。Bwana Mungu wa Majeshi asema "Tutawatambua kwa matendo yao"!.
Mungu Ibariki Tanzania!
Paskali
Rejea za mambo ya Mungu na shetani。
- Pre GE2025 - Uchaguzi Wetu ni Umungu /Ushetani?Anaye Kinukisha Kuuzuia Uchaguzi wa Kimungu ni Shetani!ila Kama ni wa Kishetani,Anayeuzuia Afanya Kazi ya Mungu au?
- Pre GE2025 - Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?
- Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
- Malaika akijiunga na mashetani, anageuka shetani? Shetani akijiunga na malaika anageuka malaika?!
- Elections 2015 - Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!
- The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!