Inawezekana na kubaki kununulia magari ya kubebea wagonjwa. Na salio dogo linaweza kutumika kujenga vyoo Mwanza. Tatizo ni upeo mdogo wa Bwana Kinana na Makamba... hivi shule walisoma wapi jamani? Kauli zao ni kama za watoto wa Shule za Msingi.
hela aliyoomba mwaka jana ya kuimarisha uchumi trilioni kadhaa yaani bado hajatumia hata trilioni moja? tutakoma mpa uchaguzi ni zamu yake na familia kutesa ila kuanzia 31 ni kilio na kusaga meno.
Nawatami sana hawa jamaa wa sisiem kuzidi kupinga swala la elimu bure wakati wao wanazidi kutumia mabilion kwenye kampeni. Wakae wakijua Rais Slaa atawadai hayo mabilion
Inawezekana na kubaki kununulia magari ya kubebea wagonjwa. Na salio dogo linaweza kutumika kujenga vyoo Mwanza. Tatizo ni upeo mdogo wa Bwana Kinana na Makamba... hivi shule walisoma wapi jamani? Kauli zao ni kama za watoto wa Shule za Msingi.
wanunue magari ya kubebea wagonjwa wakati wameahidi bajaj kwa akina mama wajawazito!!! Eti akina mama nao bado wanaiunga mkono CCM Jamani tumerogwa??? Kwa vyoo Mwanza mdogo wangu nakupinga Mwanza iko juuu naona una siku nyingi hujafika!!! Lakini naona kama Makamba amenyamaza sijui kwa nini??
Inawezekana na kubaki kununulia magari ya kubebea wagonjwa. Na salio dogo linaweza kutumika kujenga vyoo Mwanza. Tatizo ni upeo mdogo wa Bwana Kinana na Makamba... hivi shule walisoma wapi jamani? Kauli zao ni kama za watoto wa Shule za Msingi.
Mbona wamenunua criuser mkonga zaidi ya 200? wanashindwa vipi kununua ambulance zaidi ya 1000, kwani kama chama kinaweza 200 je serekali itashindwavipi 1000 ?