steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Ukiwa Japan unamjib tu ivyo[emoji2] [emoji2] [emoji2]kwa hiyo kama mama mwenye nyumba wa maryland anataka kodi yake unamwambia nitakupatia jana, duu!
Ndy ivyo mkuuEeeh
Unalogic kwenye thread yako.Pengine unafahamu au haufahamu ukisafiri kwa ndege kutoka mji waa Tokyo nchini japana siku ya jumapili SAA kumi na moja kuelekea mji wa Maryland nchini marekani unafika Jana? Yaani unaondoka jumapili unafika jumamosi ambayo ulisha Iona ukiwa tokyo[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] View attachment 837138
[emoji23] [emoji23]kwa hiyo kama mama mwenye nyumba wa maryland anataka kodi yake unamwambia nitakupatia jana, duu!
Ukitoka SAA kumi na moja alfajiri ya jumapil unafika SAA nane ya jumamosUnalogic kwenye thread yako.
Lakini umesahau kuainisha kuwa ukisafiri kwa muda ma saa ngapi?
Waweza ukachelewa pia.
Maana unaweza ukaondoka hiyo leo saa11 jioni lakini ukafika leo asubuhi.