Wakenya hasa Nairoo, wanapenda sana mkate, siagi, na maziwa ya KCC. Kwa miaka niliyokaa Nairobi sikuwahi kunywa chai ya rangi. Kwa hilo majirani zetu nawapa kongole.