Je, wajua 11,000 na 10,001 zinatamkika sawa?

Je, wajua 11,000 na 10,001 zinatamkika sawa?

MC

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
762
Reaction score
190
11,000 na 10,001, namba hizi ni sawa 'kimatamshi'

Elfu kumi na moja
 
Hazipo sawa kimatamshi, ni upoyoyo wako tu! >ya kwanza ni elfu kumi na moja.
>ya pili ni kumi elfu na moja..
sikutegemea jf kuona kitu kama hichi.
 
Mkuu Allan, shukrani kwa kuniita poyoyo, japo naweza kuwa makini kuliko hata wewe
 
Wai hiyo ya pili haipo kwenye mzunguko wa kibenki kwa hiyo weka mbali,msimbazi ndiyo habari ya mjini!
 
12,000 na 10,012.......13,000 na 10,013...,21,000 na 20,021.....e.t.c..acha kutujazia topic zisizo za msingi.
 
11,000 na 10,001, namba hizi ni sawa 'kimatamshi'

Elfu kumi na moja

Afadhali ungeuliza kwanza na siyo kutuambia kitu usichokifahamu kwamba unakifahamu.
Hizo namba hazifanani kimatamshi.Jibu limetolewa,wewe unasema ni tafsiri ya mojakwamoja kutoka lugha ya kiingereza.Kasome vitabu vya hisabati vya darasa la 4 au la 5,utapata ufahamu kama uliviruka.
 
Back
Top Bottom