gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 13,028
- 16,046
Kwani farao alikua akiongea kiarabu alipojibizana na Musa?.. mbona leo misri wanaongea kiarabu?Hakuna kitu !!!
Kwani farao alikua akiongea kiarabu alipojibizana na Musa?.. mbona leo misri wanaongea kiarabu?Hakuna kitu !!!
Kama hutaelewa na ha hapa basi wewe utakuwa BUMUNDA kabisa!!Majamaa yanakalia nchi ya watu
Kumbe alipewa Abraham? Sasa kivipi ni ya wayahudi pekee ilihali Abraham alikua na watoto zaidi ya 7? Na wajukuu mamiaKatika Mwanzo 15, Mungu anampa Ibrahimu agano: "**Kwa uzao wako nitawapa nchi hii, kutoka mto wa Misri hadi mto mkubwa, Frati." Hili halina mjadala. Haitokani na siasa au maoni ya umma. Ni tendo la kimungu kwa nchi ya Israeli.
Westbank kuna mateka? Bethlehem kuna mateka? Mbona mnaua wapalestina wa kule? Kumbuka westbank kuna wakristo wengi wa kipalestina ila nao wanauwawa!!Ni kweli wengi ukiwemo wewe unaongozwa na mihemko ya dini yako hapohapo unajifanya hujui kilichofanywa na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 na umejitoa ufahamu kabisa usijue kuwa huko Gaza kulikuwa na mateka wa kiyahudi 251.
Kwa kutokuyajua yaliyofanyika Oct 07,2023 na kuyajua tu yanayoendelea huko Gaza kwa sasa kunakufanya wewe uonekane ni mjinga na mpumbavu uliyepitiliza!!!
Kama hutaelewa na ha hapa basi wewe utakuwa BUMUNDA kabisa!!
View: https://x.com/imtiazmadmood/status/1786838421534552419?s=61
Ni kweli wakristo wako huko Judea na Samaria(west-Bank) kwa mateso na kusumbuliwa na waislam na ndiyo maana idadi yao inazidi kushuka kwa many anasonga wanayoyapata kwa kuwa ni Wakristo.Westbank kuna mateka? Bethlehem kuna mateka? Mbona mnaua wapalestina wa kule? Kumbuka westbank kuna wakristo wengi wa kipalestina ila nao wanauwawa!!