Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,244
- 1,990
Shida haziishi, kuna ndugu ukiwasaidia matatizo yao ndiyo yanazidi kuongezeka na wengine wanatengeneza utegemezi wakiamini ule msaada ni haki yao wanayostahili.Habari zenu Ndugu zangu?
Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Mtu anaweza kuwa na uwezo wa kumsaidia mwenzake anayepitia wakati mgumu, lakini akaamua kukaa kimya kana kwamba tatizo hilo halimhusu.
Mgonjwa anakosa matibabu, mtoto anakosa mahitaji muhimu, kijana anashindwa kusoma kwa kukosa ada, familia inakosa chakula, lakini wengine wanaona na kupita zao.
Cha kushangaza, wakati mwingine tunatumia pesa nyingi kwenye starehe, lakini tunashindwa kutoa hata msaada mdogo unaoweza kubadilisha maisha ya mtu.
Je, tatizo letu ni umaskini, au ni ubinafsi na kupotea kwa utamaduni wa kusaidiana?
Binadamu wote duniani wako hivyo kasoro nchi za Scandinavia, Canada na GCC.Habari zenu Ndugu zangu?
Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Mtu anaweza kuwa na uwezo wa kumsaidia mwenzake anayepitia wakati mgumu, lakini akaamua kukaa kimya kana kwamba tatizo hilo halimhusu.
Mgonjwa anakosa matibabu, mtoto anakosa mahitaji muhimu, kijana anashindwa kusoma kwa kukosa ada, familia inakosa chakula, lakini wengine wanaona na kupita zao.
Cha kushangaza, wakati mwingine tunatumia pesa nyingi kwenye starehe, lakini tunashindwa kutoa hata msaada mdogo unaoweza kubadilisha maisha ya mtu.
Je, tatizo letu ni umaskini, au ni ubinafsi na kupotea kwa utamaduni wa kusaidiana?
Hapo kwenye kugeuza msaada kuwa "HAKI" ndipo janga lilipo!. Nakubaliana nawe 💯Shida haziishi, kuna ndugu ukiwasaidia matatizo yao ndiyo yanazidi kuongezeka na wengine wanatengeneza utegemezi wakiamini ule msaada ni haki yao wanayostahili.
View attachment 3689741
Naamini watu wengi tumechoka, kila mtu ambaye ni mzima wa afya ajitahidi kujipambania bila kutegemea kuna wengine wa kumbeba.
Kama anaomba kwenye ishu ya muhimu si unasaidia tu?Shida haziishi, kuna ndugu ukiwasaidia matatizo yao ndiyo yanazidi kuongezeka na wengine wanatengeneza utegemezi wakiamini ule msaada ni haki yao wanayostahili.
View attachment 3689741
Naamini watu wengi tumechoka, kila mtu ambaye ni mzima wa afya ajitahidi kujipambania bila kutegemea kuna wengine wa kumbeba.
😀😀😀anko akili hunaTuna utu na utulivu
Ungetumia asilimia kuliko kugeneralize.Habari zenu Ndugu zangu?