S Stretcher Member Joined Oct 24, 2020 Posts 34 Reaction score 24 Nov 8, 2020 #1 Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute. Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho? Asante
Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute. Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho? Asante
pet geo pet JF-Expert Member Joined Jun 30, 2018 Posts 516 Reaction score 815 Nov 8, 2020 #2 Vyeti hivyo ndio vipoje mkuu? Make sielewi unamanisha nini?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,685 Nov 9, 2020 #3 Ngoja waje kutoa muongozo... Cc: mahondaw
Ze last Born JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 1,770 Reaction score 3,875 Nov 9, 2020 #4 Kwa hili li nchi letu lilipofikia hata uwe na vyeti mia bila "konekisheni" ni upuuzi tu
kasulavenance JF-Expert Member Joined Jan 23, 2020 Posts 759 Reaction score 916 Nov 9, 2020 #5 Labda upate kazi ya kupanda miti.