M maingu z Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 134 Reaction score 18 Jul 7, 2012 #1 Anakaribishwa mwanadada mtu mzima kuanazia miaka 30 kwenda juu, kwa mahusiaono kimapenzi. Umri wangu ni miaka 41.sina masharti zaidi. Atakayekuwa radhi tafadhari niandikie private msg.
Anakaribishwa mwanadada mtu mzima kuanazia miaka 30 kwenda juu, kwa mahusiaono kimapenzi. Umri wangu ni miaka 41.sina masharti zaidi. Atakayekuwa radhi tafadhari niandikie private msg.
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,848 Jul 7, 2012 #2 Dah! Kweli kupata mpenzi ni kaazi..Tangu umetoa hili tangazo hujapata tuu kakangu au umepata sema ndo vile hujawapenda??? Usijali utapata tuu.
Dah! Kweli kupata mpenzi ni kaazi..Tangu umetoa hili tangazo hujapata tuu kakangu au umepata sema ndo vile hujawapenda??? Usijali utapata tuu.
M maingu z Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 134 Reaction score 18 Jul 8, 2012 Thread starter #3 du dadangu, kuna wasanii tu humu.
M maingu z Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 134 Reaction score 18 Jul 8, 2012 Thread starter #4 neylu said: Dah! Kweli kupata mpenzi ni kaazi..Tangu umetoa hili tangazo hujapata tuu kakangu au umepata sema ndo vile hujawapenda??? Usijali utapata tuu. Click to expand... humu wengi ni wasanii dadangu. wapo lakini mnawasiliana siku mbili tatu amepotea humwoni tena.
neylu said: Dah! Kweli kupata mpenzi ni kaazi..Tangu umetoa hili tangazo hujapata tuu kakangu au umepata sema ndo vile hujawapenda??? Usijali utapata tuu. Click to expand... humu wengi ni wasanii dadangu. wapo lakini mnawasiliana siku mbili tatu amepotea humwoni tena.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 8, 2012 #5 Kuna jirani yangu yuko lonely, nitakufanyia connection ila yeye ni mwathirika
M maingu z Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 134 Reaction score 18 Jul 8, 2012 Thread starter #6 MadameX said: Kuna jirani yangu yuko lonely, nitakufanyia connection ila yeye ni mwathirika[/QU siihitaji kwa kuunganishiwa. Click to expand...
MadameX said: Kuna jirani yangu yuko lonely, nitakufanyia connection ila yeye ni mwathirika[/QU siihitaji kwa kuunganishiwa. Click to expand...