Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Burundi wamenifunza, Ibilisi hapaswi kuishi
 
Siku ya kupiga kura.naanzia baa nawachkua baa medi wote .napita kwa madem zangu wote nawapa buk 10 kumi nawambia mkiona john pombe magu weka tiki
 
wasio mpa kura ni wale WEZI na WAPIGA DILI
Yeye pia mwizi aliiba sana kura na ataiba tu. anajua kuwa hammpendi. ndiyo maana mkalii hasa kwa wana Dsm hawapendi km nini!
Hapo wewe anakuona mnafiki tu. Aliwahi sema yeye kawekwa na mungu wake mwizi.dsm anampenda makonda tu.
 
Back
Top Bottom