Je utafanyaje mmeo akikuletea mtoto wa nje ya ndoa?

hivi wanajua na hawa watoto wana majaribu sana tu, wakishajua wewe sio mama yao wa kumzaa, wachache wapo poa akiwepo wangu japo mama yake mdogo na mtoto alitaka kuniletea za kuleta nikwambia weee shika adabu yako mana naweza kukufungashia huyu mtoto na utajua utakapompeleka, unaniletea nyodo hujui hata mtoto anavaa chupi gani? kiazi kabisa, alikoma kabisa, rafiki yangu yeye ni ndezii fulani anateseka sana na kumlea mtoto wa mume wake, mama wa mtoto ni fujo/maneno kila kukicha, hawaridhikagi hata uwalele watoto wao kama queens bado maneno yatakuwepo tu, huyu rafiki yangu nilimuuliza hivi unatesekea nini hivyo mmama mwenyewe anaekuletea nyodo kwa jinsi unavyokaa na mwanae alitakiwa akuheshimu sana sana, hapo hapo nikamwambia ningekuwa"mimi ni wewe ningefanya maamuzi magumu ya kugoma kumlea huyu mtoto" ili kuwe na nidhamu ati, malezi sio kitu kidogo wajameni, wacha mume aseme simpendi mwanae but niwe na amani moyoni, kama hatuheshimiani kwani nini bwana?
I can imagine.....
ila nimeona sehemu nyingi wamama wa watoto ndo huwa wanawatia kiburi watoto wao wanapokaa kwa mama zao wa kufikia.... na hii ni mbaya sana
 
exactly my dear, mama wa mtoto wangu hayupo nasi tena, mie ndio kila kitu kwa huyo mtoto akatokea ki mama mdogo akataka kuleta za kuleta nikwambaia wewe hunijui kabisa, huyu mtoto akinyanyua mabegi hapa hatakaa harudi kwenye nyumba mpaka nitakapoamua mimi, kwanini mtoto ayumbishwe kwenye malezi? leo huku kesho kule, nikamwambia na mwanaume bila kusimamia hili tutaonana wabaya au tutasambaratika, huyo mama mdogo ni nani kwanza wa kuja kuhoji juu ya nyumba yangu, sijui walitafitana wakaongea nini huko but ilikoma kabisa hiyo tabia, na ninalazima mwanaume anishirikishe kwa lolote juu ya huyu mtoto, na imekuwa mpaka hao wamama wadogo wanaambiwa mpigieni wife muongee nae juu ya hilo,na wanapiga, mwanaume anajua jinsi ninavyoishi na mwanawe asingeweza kuvumilia huo upuuzi.
 
safi sana....
kuna binamu yangu aliolewa akakuta mumewe ana mtoto wa kiume, wakamchukua wakakaa naye..... mama yake akaanza kuleta hizo za kuleta, mbona hapakutosha! huyo binamu ni balaaaa, yaani ukoo mzima tunamtegemea kwa kuwasha moto, lol! yule dada kwani alirudi tena!
yule mtoto sasa yupo form six na ni best wa mamake hiyo anayemlea, ni wanapatana balaa......
 
mie mtoto wangu huyo nampenda sana,ni rafiki yangu mnoooo, hawa watoto wanapoanza kuyumbishwa kimalezi ndio huko huko wanaokota mambo ya ajabu, wanaambiwa/washauriwa ujinga/wanapepelezwa/chimbwa ujinga mpaka mtoto anaanza kuonyesha kiburi,
 
ni kweli kabisa rafiki......
ingawa kuna wamama pia wana shukrani wanapolelewa watoto wao, tena kama mwingine ana uwezo anaweza hata akakusaidia kwa vitu vya mtoto. nakumbuka kuna wifi yetu (aliachika kwa kaka lakini walikuwa wamezaa mtoto wa kiume) anapokuja kumsalimu mwanaye anapita shopping kwa ajili ya watoto wote wa kaka, au anaweza kuja nyumbani na kuwachukua watoto wote akawapeleka shopping bila kubagua.
 
hao wapo ila ni wachache sana, na mie najiuliza hivi unavyoniletea nyodo na nipo na mtoto wako namlea unatumia akili kweli? hajui akinikorofisha naweza kumfanyia madhara makubwa?
 
hivi wanajua na hawa watoto wana majaribu sana tu, wakishajua wewe sio mama yao wa kumzaa, wachache wapo poa akiwepo wangu japo mama yake mdogo na mtoto alitaka kuniletea za kuleta nikwambia weee shika adabu yako mana naweza kukufungashia huyu mtoto na utajua utakapompeleka, unaniletea nyodo hujui hata mtoto anavaa chupi gani? kiazi kabisa, alikoma kabisa, rafiki yangu yeye ni ndezii fulani anateseka sana na kumlea mtoto wa mume wake, mama wa mtoto ni fujo/maneno kila kukicha, hawaridhikagi hata uwalele watoto wao kama queens bado maneno yatakuwepo tu, huyu rafiki yangu nilimuuliza hivi unatesekea nini hivyo mmama mwenyewe anaekuletea nyodo kwa jinsi unavyokaa na mwanae alitakiwa akuheshimu sana sana, hapo hapo nikamwambia ningekuwa"mimi ni wewe ningefanya maamuzi magumu ya kugoma kumlea huyu mtoto" ili kuwe na nidhamu ati, malezi sio kitu kidogo wajameni, wacha mume aseme simpendi mwanae but niwe na amani moyoni, kama hatuheshimiani kwani nini bwana?

Umeonaeeh,Nyamayao!ndo maana mi msimamo wangu,uko pale na haubadiriki,SILEI Mtt wa mtu,full stop
 
mfano wewe mdada kwenye ndoa yako mmebahatika kupata watoto wa kike tu na unatamani sana upate mtoto wa kiume japo mmoja tu......
swali: je mmeo akikuletea mtoto wa nje lakini wa kiume utampokea??.......kumbuka unatamani mtoto wa kiume hapo na ndo umeletewa utamkubali???

simpokei
 
kulea sio ishu tatizo mama zao huwa na vimbelefront sana....
kama maji yashamwagika kuwa muwadhi tu kwa mkeo ila kama akikataa kulea usilazimishe; tafta namna nyingine ya kulea mwanao.
 
Anazaa mtoto nje mke wake ndo amlelee? Kila mtu abebe mzigo wake? Kwani mama mtoto amekufa.
 
Back
Top Bottom