Je ushoga ni ugonjwa?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Kwenye saikolojia kuna kitu tunaita sex identity disorder au gender dysphoria.

Hii ni ile hali ambapo mtu anakuwa haimuingii akilini kuwa na jinsi aliyonayo au aliyozaliwa nayo. Mtu anaweza kuwa mwanaume laki akili inamuambia yeye ni mwanamke au mwanamke akili inamuambia ni mwanaume.

Watu wengi wenye tatizo hili huishia kuwa mashoga na mwasagaji.
Matibabu ya tatizo hili ni pamoja na ushauri wa kisaikolojia, matibabu ya kupewa homoni za jinsia yako na upasuaji wa kubadili jinsia
 
unachanganya gender identity na sexuality
 
Salama Jabir yuko upande upi?
 
Sasa huku TZ haswa kwa huyu RC Mak.... tiba yake eti nikuwakamata waende jela ili sijui iweje? Sijui jela kuna vibandiko vya mat.ako ili akitoka asiendelee na ushoga.Yangu macho
 
Ushoga ni ugonjwa wa kishamba tena wa kujitakia
Kuna watu wengine wanazaliwa na hitilafu kiasi ambacho hata ukimwona wewe unaona kabisa ana kasoro. Unakuta mtu kila kitu ni mwanamme lakini ni sehemu za siri tu ni za kike, na wanawake hivyo hivyo. Na kuna wengine mazingira wanayokulia. Wanaweza kudanganywa tangu wakiwa wadogo kabisa na kufanyiwa vitendo kama hivi mpaka wanazoea na kuona ni kawaida. Na kuna kundi jingine wamebadilika ukubwani kwa sababu hii ama ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…