Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,414
Je, hii ishawahi kukukuta?.
1-kwa mfano Kuna mtu ulihisi atakua eneo flani na hutaki kukutana nae ikabidi ubadili njia, lakini ulipo pita ndo na yeye kapita hko hivyo ukakutana nae.
2- Ushawahi kudaiwa kwa mfano na mtu flani ili kumukwepa ikabidi uende sehemu flani mbaya zaidi uliko elekea ndo ukamkuta.
3-Ulisha wahi kukaa au kutembea na mtu hata kwa mda flani mfano dk5 wote mkiwa kimya harafu baada ya mda ikabidi umuongeleshe,
Lakini neno ulilo sema na yeye kwa mda huo akalisema hivyo mkawa mmelisema kwa pamoja.
4-Ushawahi kukaa ukawaza umtafte mtu flani kwa kumtumia ujumbe au kumpigia simu, ukiwa Bado unafkiri akakutafta yeye?.
Na mambo mengne.
Hiyo kitu inaitwa kama Uwiano wa fkira au Multiple Correlation of meditation
Hii hutokea kwa Watu wenye fikra zinazo wiana.
Kitaalamu kunafaida.