Ni kutokujua kitu lakini unakomaa kujifanya unajua. Mfano unaposisitiza kuwa Saddam Hussein alikuwa Rais wa Kuwait huo ni ushambaushamba ni nini
jibu alilokupa Mkuu Chakaza ni muafaka.ushamba ni nini
Mfano mdogo tu hapa. Engineer mwenye PHD kupewa project ya kusimamia treni ya umeme wakati hajawahi kupanda treni ya umeme kwenye maisha yake wala kuona kwa macho yake inavyofanya kazi. Huu ni ushamba tunaongelea kuna wasomi wengi sana washamba na swali langu je ni tatizo au la...ushamba ni nini
huo ni ushamba au kukosea (mfano wako).Ni kutokujua kitu lakini unakomaa kujifanya unajua. Mfano unaposisitiza kuwa Saddam Hussein alikuwa Rais wa Kuwait huo ni ushamba
hajajibu kitu...jibu alilokupa Mkuu Chakaza ni muafaka.
ushamba ni nini au nini maana ya ushamba sio mifano ya kitu ambacho hadi sasa ni undefined.Mfano mdogo tu hapa. Engineer mwenye PHD kupewa project ya kusimamia treni ya umeme wakati hajawahi kupanda treni ya umeme kwenye maisha yake wala kuona kwa macho yake inavyofanya kazi. Huu ni ushamba tunaongelea kuna wasomi wengi sana washamba na swali langu je ni tatizo au la...
Sasa ulicho andika ndio zaidi ya ushamba..huo ni ushamba au kukosea (mfano wako).
kwa mfano akikwambia anamaanisha siku ambapo iraq iliivamia quwait na kuitangaza kuwa jimbo la 19 la iraq chini ya saddam.kwa maana hiyo wewe ndio utakuwa mshamba maana saddam hussein ameshawahi kuwa rais wa kuwait hadi alipotimuliwa na Bush snr
hili neno ni universal au ni tanzania tu?
nini maana ya ushamba...Sasa ulicho andika ndio zaidi ya ushamba..
Dunia yote inajua Saddam alikuwa Rais wa Iraq..
Jamaa enu hayupo sawa kichwani, ipo siku atatembea mtupu utamtetea hapa "mbona amevaa nguo.. "
Miserably inadequate..!!!