Je ushamba ni tatizo kwenye uongozi?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,551
8,642
Nina swali moja tu. Ukizingatia dunia ya siku hizi inafanya kazi pamoja kuanzia teknologia tunazotumia , thamani ya pesa ya nchi, biashara na uwekezaji. Unaweza ukawa msomi lakini huelewi dunia inaenda vipi kwasababu umekuwa umezungukwa na watu ambao hawajui zaidi yako, hawajui dunia inavyoenda ingawa wanajua sana habari na watu wa vijijini na shida zao.

Je ushamba ni tatizo kwenye uongozi? na hii inapunguza vitu jitihada za kimaendeleo?
 
Ndoo maana baba Wa taifa alianza kumuandaa Benjamin Mkapa kwa kumpeleka nje ajue mambo ya dplomasia kabla haja hajakabidhiwa urais,huwez kukwepa kwenda nje kama unahtaji maendeleo kazma uende kujifunza no way
 
ushamba ni nini
Mfano mdogo tu hapa. Engineer mwenye PHD kupewa project ya kusimamia treni ya umeme wakati hajawahi kupanda treni ya umeme kwenye maisha yake wala kuona kwa macho yake inavyofanya kazi. Huu ni ushamba tunaongelea kuna wasomi wengi sana washamba na swali langu je ni tatizo au la...
 
Ni kutokujua kitu lakini unakomaa kujifanya unajua. Mfano unaposisitiza kuwa Saddam Hussein alikuwa Rais wa Kuwait huo ni ushamba
huo ni ushamba au kukosea (mfano wako).
kwa mfano akikwambia anamaanisha siku ambapo iraq iliivamia quwait na kuitangaza kuwa jimbo la 19 la iraq chini ya saddam.kwa maana hiyo wewe ndio utakuwa mshamba maana saddam hussein ameshawahi kuwa rais wa kuwait hadi alipotimuliwa na Bush snr
hili neno ni universal au ni tanzania tu?
 
Mfano mdogo tu hapa. Engineer mwenye PHD kupewa project ya kusimamia treni ya umeme wakati hajawahi kupanda treni ya umeme kwenye maisha yake wala kuona kwa macho yake inavyofanya kazi. Huu ni ushamba tunaongelea kuna wasomi wengi sana washamba na swali langu je ni tatizo au la...
ushamba ni nini au nini maana ya ushamba sio mifano ya kitu ambacho hadi sasa ni undefined.

kama hatujui maana USHAMBA, na ili iwe maana ya kueleweka angalau utoe maana ambayo ni UNIVERSAL basi hilo neno ni VOID na mada hii inakuwa imekufa boss
 
huo ni ushamba au kukosea (mfano wako).
kwa mfano akikwambia anamaanisha siku ambapo iraq iliivamia quwait na kuitangaza kuwa jimbo la 19 la iraq chini ya saddam.kwa maana hiyo wewe ndio utakuwa mshamba maana saddam hussein ameshawahi kuwa rais wa kuwait hadi alipotimuliwa na Bush snr
hili neno ni universal au ni tanzania tu?
Sasa ulicho andika ndio zaidi ya ushamba..
Dunia yote inajua Saddam alikuwa Rais wa Iraq..
Jamaa enu hayupo sawa kichwani, ipo siku atatembea mtupu utamtetea hapa "mbona amevaa nguo.. "
Miserably inadequate..!!!
 
nini maana ya ushamba...
sitetei mtu natetea ukweli ambao haupo kwenye mada...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom