Je usemi huu n kwel?

Je usemi huu n kwel?

jem the great

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
44
Reaction score
11
Je n kwel ukiwa mpenz ambae mna umri sawa inakua ngum kutengeneza future???based in our generation..
 
Hakuna ukweli sana na pengine ukweli kwa kiasi! mapenzi hayana straight formula ni pata potea flani hv!
 
Wengi hawatakihilo kwa sababu baada ya miaka kadhaa mwanamke ataonekana kuwa na umri wa mama yako. Je upo tayari kuwa na mke anaefanana na mama yako kiumri? Jifunze kutoka kwa wengine
 
no proof no right to speak...
 
no proof no right to speak...

what kind of proof do you want here. kila kitu kipo wazi. Jiulize ni wanaume wangapi waliooa wanawake wanaolingana nao umri ukilinganisha na wale waliooa wenye umri mdogo zaidi yao.
 
nimelinganisha but i have seen no truth in it.......
can u prove or not!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama umeolewa ni nani aliye na umri mkubwa kati yako na mumeo? try to ask your friends too othewise utakuwa unatokea magharibi mwa nchi ambako watu wanapenda ubishi.
 
Co kweli ila ni vzr zaidi kwa mwanaume kumzdi mwanamke umri kdg!
 
Kama umeolewa ni nani aliye na umri mkubwa kati yako na mumeo? try to ask your friends too othewise utakuwa unatokea magharibi mwa nchi ambako watu wanapenda ubishi.

Your perception is not my reality

Note that
 
ni kweli kabisa wala hakuna ubishi. labda tujadili sababu zinazosababisha matokeo hayo.
 
Kama umeolewa ni nani aliye na umri mkubwa kati yako na mumeo? try to ask your friends too othewise utakuwa unatokea magharibi mwa nchi ambako watu wanapenda ubishi.

Bit za wimbo huu huwa nazipenda sana; nafikiri na wewe unayesoma hapa unazipenda ..."KIGOMA, CHEZA ...." MENGINE HUWA SIYASIKII VIZURI.
 
asometimes yes sometimes no,but mostly yes
 
Back
Top Bottom