Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 583
- 1,478
Habari?
Je, masaa ya usiku na dakika ni sawa na masaa ya mchana?
Ni kipi kinafanya usiku uonekana mfupi sana huku mchana ukionakana mrefu?
Kuna wakati usiku silali kabisa na ninasema nitalala mchana. Nikilala mchana nalala hadi nachoka na unakuta nimelala masaa 4 au matatu. Tofauti na usiku, nikifumba na kufumbua pamekucha.
Haya Masaa ni sawa kweli?
Asante.