kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,557
- 2,626
Habari wakuu,
Hivi hivi vipandikizi vya uzazi vijiti eti vinachangia mwanamke asisikie hamu ya kujamiiana, maana nina mtoto ana mwaka mmoja ila wife kaweka kijiti cha miaka 3.
Sasa wakati mwingine nilitaka kusex naye anasema kachoka,mara nyingi ananijibu hivyo nimemwambia akatoe kijiti anasema hataki mtoto bado mdogo.