Je ungependa ukumbukwe kwa lipi?

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Katika kufuatilia michango ya mawazo mbalimbali hapa jamvini,nimekuwa nikijiuliza swali hili je ungependa ukumbukweje?
Mimi binafsi ningependa nikumbukwe kama mtu mwenye dhamira safi na ya dhati katika ujenzi wa jamii bora,mtu aliyejitahidi kujenga jamii yenye haki na maadili ya kitz.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom