Je Ungekuwa Wewe Ungefanyeje

Je Ungekuwa Wewe Ungefanyeje

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Asubuh na mapema unaamshwa kwa hodi na kilio kikubwa, unafungua mlango unamkuta ni rafiki yako wa karibu sana na analia kwa uchungu mno.
Unajitaidi kumnyamazisha lakini wapi, huku anaendelea kulia na kuangalia mbinguni kuashiria kuna kitu nawewe hukati tamaa kumnyamazisha, huku unakumbatia nae anakukumbatia kwa uchungu huku ukimfuta machozi na kumfariji, badae unamuuliza kwa kumbembeleza sana kulikoni ndugu yangu?
Anakujibu kwa uchungu sana '' Nina Ebola ndugu yangu''.

Je wewe utafanyeje......
 
Hakuna haja ya kupotez mda tena hapo .Nikwenda kuanza tiba haraka sana bila mjadala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom