Diamond yule miguu ka spoke? Hiyo tena hapana bwana!!Ushamba wa wabongo wengi,,, yani ukishika hela kidogo tu, unafutuka hatari, mi najaribu kumwangalia Diamond naona ni mfano tosha wa jinsi mwanaume unapaswa kuwa, sio unanenepeana ovyo tu. Ova
Ghafla nikamkumbuka "Gwiji aka Mbobezi"Duh wewe peke yako ndio umejua siri ya jina langu.
Hakuna kitu Kama hicho mkuu, huo ni ulafi tu100%Wengine Ni Miili Ya Kurithi
Mkuu wew ndio mmiliki was gari inaitwa Rondo best niliiona LindiDuh wewe peke yako ndio umejua siri ya jina langu.
Hapana kiongozi.Mkuu wew ndio mmiliki was gari inaitwa Rondo best niliiona Lindi
Labda wazazi wenye upeo mdogo.Kibongobongo ukikosa manyamanyama ni ngum hata kung'oa madem, hawaamin watu vimbaumbau km wanaeza kuwa stable na mkifika mnataka kuoana ndo kabsa unakuta wazaz wake wakikuona tu fulu wasiwasi
Mkuu watu wanakupa ushauri mujarab wewe unabeza,sasa endelea kuendekeza ubonyenye,utajikuta hata yale "mambo flaniflan"i nyeti yanakushinda halafu gafla utamkuta mwenza si wako tena na ndipo utatia akili.Naona vimbau vimbau mnafarijiana..