Unayetaka kumtag ni Chief-Mkwawa sio huyo uliyemtag
au tunaweza sema watu wengi hawatilii maanani sana hivyo vitu , zaidi ya wadau wa techHii thread nilijua tu watu wengi hawatoielewa. Bora hata nisingeileta huku 😅
au tunaweza sema watu wengi hawatilii maanani sana hivyo vitu , zaidi ya wadau wa tech
Gut feeling ilikuambia kabisa hutoboi... We ukaibishia,Hii thread nilijua tu watu wengi hawatoielewa. Bora hata nisingeileta huku 😅
naam, normal user sisi hivi vitu wala havina maana yeyote,Hata hizi computer, nikiwa chuo sehemu flan viungani huko, ukiingia kwenye computer lab, kabla hujaanza kutumia computer zile, zinakuuliza wewe ni mtumiaji wa namna gani!
Novice/Junior to expert /Power User
Unachagua pale ambapo wewe unafiti. 😁
Same hata hizi simu, kuna mayanki wanaujuzi nazo mpaka sio poa. Sasa inahitaji kujifunza zaidi na muda na umuhimu pia.
Kuna maarifa sio muhimu kulingana na mtu na mtu.
Hizo UI zenyewe flagship na low-end zinatofautiana, hapa natumia kimeo cha OnePlus low-end kipo Tofauti kabisa na flagship zao nilizotumia, kina bugs kama zote, same kwa Samsung low-end zao zina one UI core ambayo haina features kama midrange na flagship zao ambazo hutumia full one UI.Most common OS zinazotumika na watu wengi kwenye simu ni iOS na Android
Kwenye iOS kwa sababu hakuna mpinzani zote zina UI moja tu ila kwa Android zipo UI nyingi, kwa hiyo hapa kiujumla, naongelea kuanzia
iOS
hadi
- One UI (Samsung)
- HyperOS (Xiaomi)
- ColorOS (Oppo)
- OxygenOS (One Plus)
- Pixel UI (Google Pixel)
- Android ya kwenye Sony Xperia (no specific name)
- OriginOS (Vivo China)
- FuntouchOS (Vivo Global)
- NothingOS (Nothing Phone)
- Hello UI (Motorola)
- MagicOS (Honor)
Je ukiwa unanunua simu kwenye UI unazingatia nini zaidi?
- Security & Privacy
- Customization and Features
- AI implementation
- Simple and clean
- Animations
- Control centre style
- "Material You" implementation
- Ad free experience
- Haujali chochote
- Other things
Binafsi napenda zaidi customization and features, plus nice animations
naam, normal user sisi hivi vitu wala havina maana yeyote,
jioni tu hapa tulikua tunapiga story, unakuta mtu anasimu ya 4M ila matumizi ni kupiga , kupokea , social media youtube haina ulazima wowote wa simu kali unless kutunisha misuli tu
Kwa ulimwengu wa sasa kijana ambaye ni artistic(digital content creator). Kumiliki professional smartphone ni muhimu sana,
Hizi za million 2,3,4.
Huwa naona kwenye UI comparison huwa wanachukua zile best vs best yani za kwenye flagships ndio wana compareHizo UI zenyewe flagship na low-end zinatofautiana, hapa natumia kimeo cha OnePlus low-end kipo Tofauti kabisa na flagship zao nilizotuma, kina bugs kama zote, same kwa Samsung low-end zao zina one UI core ambayo haina features kama midrange na flagship zao ambazo hutumia full one UI.
Hardware Muhimu Sana, ukiwa na hardware nzuri na uelewa kidogo hata bila root unaweza add features nyingi ambazo ni exclusive kwa ui mbalimbali.
Otherwise kama ni average user then one UI by far inatoa more customisation bila root.
naam wenye matumizi muhimu 100% mkuu, zimekuja kusaidia sana katika utendaji wao wa kazi zaoKwa ulimwengu wa sasa kijana ambaye ni artistic(digital content creator). Kumiliki professional smartphone ni muhimu sana,
Hizi za million 2,3,4.
Wapo wakulima wa bamia wanapenda kucheza heavy games kwenye simu wakiwa wamepumzika. Watahitaji powerful phones 😁Sasa si ndio kazi yake. 😁
Content Creators ni kazi zinawaingizia kipato, jamaa anazumgumzia mtu kama mimi nipo zangu Mpitimbi huku. Kazi yangu ni mkulima wa bamia.
Ila Apple wabunifu sana hawa jamaa. Baada ya kuwa na blurred control centre sikutegemea kama unaweza kwenye beyond thatGut feeling ilikuambia kabisa hutoboi... We ukaibishia,
Binafsi ma-features na ma-customization... Pia control center.View attachment 3562238
Mfano: hii iOS yenye liquid glass (control center ni🫡).