Watanganyika kwangu huwa nawachukulia ni watu wa ajabu kwa vile hawapendi kutajiwa taifa lao.Hupenda kujulikana kwa nicknames kama Tanzania
Tokeo nizaliwe sijawahi kumsikia mtanganyika akiulizwa unatoka wapi, akasema mimi ni mtanganyika!...kuna hata utafiti unaonesha kuwa watanzania si wazalendo kabisa, nafikiria zitakuwa na relation tafiti hii