Je, Unazijua Alama za Kitaifa za Tanganyika, 1919 - 1961?

Kwa hiyo wanaJF ni mimi tu ndio nilikuwa sizijui alama hizi km bendera ya Tanganyika, Bendera ya Gavana wa Tanganyika, Coat of Arms ya Gavana wa Tanganyika, etc au hamtaki kabisa kumsikia tena huyu jamaa aitwaye Tanganyika kwa kuwa amerest in peace?
 
Watanganyika kwangu huwa nawachukulia ni watu wa ajabu kwa vile hawapendi kutajiwa taifa lao.Hupenda kujulikana kwa nicknames kama Tanzania :D

Tokeo nizaliwe sijawahi kumsikia mtanganyika akiulizwa unatoka wapi, akasema mimi ni mtanganyika!...kuna hata utafiti unaonesha kuwa watanzania si wazalendo kabisa, nafikiria zitakuwa na relation tafiti hii :D
 
Tatizo ni kwamba wengi tumezaliwa baada ya uhuru, na baadhi ambao ni wengi pia ni baada ya Muungano! Kwa hiyo hatuijui hiyo Tanganyika inafananaje, ndio maana tunatafuta data zake kwenye mtandao! Hata hivyo it doesn't make any difference kuitwa Mtanganyika, Mtanzania! Je, tukijiita Watanganyika ufisadi utaisha, umaskini utaisha, etc?
 
Sina tamaa kama kuna siku Africa itaondokana na umasikini na ufisadi.

Sababu yangu kubwa ya kuvunjika tamaa ni Umimi umezidi sana Africa.Ikiwa kila kiongozi anataka kukaa madarakani kwa ajili ya familia yake.Na kila nafasi anayoipata anahakikisha anajilimbikizia rasili mali zote za nchi.Mungu ametuumba hivi kufa masikini :confused:
 
Kyuna haja ya kudai nchi yetu ya tanganyika

Sio lazima kudai.
Lakini hebu fikiria kama tukio la Muungano wa Afrika Mashariki (East Afrcan Federation) litatokea, Tanganyika italazimika kurudi bila kuidai. Sababu ni kuwa. Muungano unaofanya Tanzania iwepo hautakuwepo tena kwa sababu vitu vyote vinavyofanya tuungane vitakuwa vimemezwa na Muungano wa Afrika Mashariki. Uhamiaji, Forodha, Polisi, Mambo ya Nje, Jeshi n.k. ndivyo vinavyosababisha tuwe na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na vitu ambavyo ikiwa tutakuwa na Federation ya A.M. basi vyote vitamezwa huko. Hivyo hakutakuwa na Muungano tena wa Tng na Znz.
Kitu ambacho huwa nawashangaa sana Wazanzibari ni kitendo cha kuwakilishwa na Tanzania ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki. Tuache mawazo mgando, tungekuwa na nguvu zaidi kama ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki ingekuwa Tanganyika na Zanzibar zinajitegemea. Hamuoni jinsi tunavyoingiza timu nyingi wakati wa mashindano ya Challenge?
Huwa najichekea mwenyewe wakati rais wa Zanzibar anapohudhuria vikao vya Jumuia ya Afrika mashariki akiwa mgeni mwalikwa ndani ya ubavu wa (Rais wa Tanzania)
Huenda sasa wakakumbuka.
 
Congo,

..uwezo wa kiuchumi ni muhimu zaidi kuliko idadi ya Maraisi tunaopeleka ktk vikao vya East African Community.

..kitu cha kujiuliza ni kwamba: kama tumeshindwa kuelewana ktk muungano wa nchi 2, je tutauweza muungano wa nchi 6 au zaidi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom