Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,172
Hizi ni Tabia Common kwa wanasiasa wengi na kama huzifahamu utajikuta umekuwa mtumwa wao.Aidha unapoteza MALI,MAISHA n.k na kujikuta familia yako ikibaki inateseka.
1.Mwanasiasa yeyote anachokitaka ni MADARAKA tu.
2.Kwa sababu anachokitaka ni madaraka,yupo tayari kushikiana na yeyote hata SHETANI ili apate hayo madaraka.
3.Atafanya chochote ili mradi apate madaraka.
4.Yupo tayari kukubaliana na kundi la watu ili limweke madarakani hata kama masharti yao yanaumiza walio wengi.
5.Hawezi kusema ukweli palipo na ukweli ikiwa walio wengi hawaupendi.
6.UTAWACHANGIA,UTAWAPIGIA KURA,UTAWALINDIA KURA,UTAANDAMANA KWA SABABU YAO.
7.HAWAPENDI KABISA MATATZO YA WATU YAISHE Maana ndio MTAJI Wao.
8.Kama kuna tatizo la BARABARA Watalitumia kama MTAJI na ikitokea imejengwa bado watakumbia haikifai...................................
=============================
===========================
Ongezea..............