Inawezekana kabisa kwa kutumia technique za mawimbi ya sauti ambayo wataalamu wanaita "binaural sound waves"; haya yana-"stimulate" pande zote mbili za ubongo kwa wakati mmoja, na mhusika anaanza kuota akijua kabisa kwamba anaota. Jaribu kutafuta "wake dreams" kwa maelezo zaidi.
Binafsi nimefanya majaribio. Inatisha kidogo mwanzoni baadaye unaweza kabisa kuwa na control ya ndoto zako.