Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Na Alice Leo hii Yuko wapi?Nikiwa chuo nilikua nanunua makoko ya 500 ambayo yalitosha kula mchana na jioni. Pesa ambayo ningeitumia kula ilikua namgea Alice.
Kwa sasa sijui. Alinitema hata kabla sijamaliza chuoNa Alice Leo hii Yuko wapi?
Najizuia kucheka.Kwa sasa sijui. Alinitema hata kabla sijamaliza chuo
Usijizuie utapaliwa...Najizuia kucheka.
Sasa uliambulia Nini?Usijizuie utapaliwa...
Zaidi ya ngono hakuna kingine... Ni ngono tuSasa uliambulia Nini?
At least ulifuta chozi.Zaidi ya ngono hakuna kingine... Ni ngono tu
Nice night. Stay safeAt least ulifuta chozi.
Thanks for making me laugh so hard.
Goodnight.
Hahahhaha nyinyi mlikuwa mnapata tabu sana aisee mnaenda CoET kudoea makoko. Kuna jamaa nilikuwa nae room moja ndo zake ilikuwa.Nikiwa chuo nilikua nanunua makoko ya 500 ambayo yalitosha kula mchana na jioni. Pesa ambayo ningeitumia kula ilikua namgea Alice.
Alice ndiye huyu anajiita Karucee bila shakaNa Alice Leo hii Yuko wapi?
Mkuu chuo nilichosoma siyo hicho unachofikiriaHahahhaha nyinyi mlikuwa mnapata tabu sana aisee mnaenda CoET kudoea makoko. Kuna jamaa nilikuwa nae room moja ndo zake ilikuwa.
Basi itakuwa hii tabia ya kula makoko ipo vyuo vingi. Maana pale udsm nilikuwa nawaona wanavyopata tabu vijana.Mkuu chuo nilichosoma siyo hicho unachofikiria