Je?unaweza kukutana na mtu sahihi ?

Je?unaweza kukutana na mtu sahihi ?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Hivi ni kweli unaweza ukakutana na mtu sahihi kwenye maisha yako na usijue hata aende!?
Kwenye mahusiano ya kimapenzi na hata kimaisha kwa ujumla hutokea sana,yaani mtu anaweza akawa na umuhimu sana kwenye maisha yako lakini usitambue yaani ukachukulia ni kawaida sana ,lakini anapoenda ama kujitenga na wewe ndio unagundua yule alikuwa mtu sahihi kwangu mtu muhimu sana kwenye maisha yako!
Kuna kesi nyingi watu kutaka kurudiana na ex wao!,wengine wakirudiana mambo yanakuwa bora zaidi wengine mambo yanakuwa mabaya zaidi!
Wengine wanaangukia kwenye kudharauliwa zaidi na wengine kujipongeza na kusema kimoyo moyo afadhali amerudi tena kwangu nilijutia sana kupoteza nafasi ile!
Jifunze kuwa bora kwenye mahusiano ili siku akikupoteza ajue amepoteza mtu bora sana sio bora mtu!,maana kumuombea mabaya huko aendapo hayatakusaidia chochote zaidi ya stress
N:B, mabango yametolewa [emoji28]
 
Kumbe mabango yametolewa tayari.
Basi kesho kinawaka
 
Ety mabango yametolewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom