Je Unaweza Kuendesha Hii Baiskeli

Utajiri huo umejileta wenyewe, kwa wenye imani za jadi
 
ahhhhhh..thubuti yake..hapo unahitaji uwe na moyo kama wa Nyegere..!!
 
Mi naweza! Tena nikiwa nimejifunga taulo tu. Ila dont try it utajuta
 
Halafu baiskeli jamii hiyo zinakimbia balaa!
 
hii ina ulinzi wa kutosha, hakuna haja ya kulinda na lock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…