Je unaweka wapi mkono wakati umelala?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,604
Reaction score
5,365
Naomba utuambie, je wakati ukiwa umelala unaweka mkono au mikono sehemu gani ya mwili wako?
 
Mimi nikiwa nimelala naweka mkono kichwani (nimeshika kichwa) au kwenye moyo.
 
Inategemea.
Ma-Single wana style zao na walio Pair wana style zao pia.
Wewe umelenga kundi gani?
 
Wote tu! Iwe single au pair, mchango wako ni muhimu.
 
unachokitaka utakipata tu.. subiri
 
Asilimia kubwa ya wanaume wakilala mchana utakuta mkono upo ndani ya bukta kashikilia urijali wake.
 
Huwa naweka kwenye kifua kama kuna joto kama kunabaridi inatupiwa katikati ya mapaja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…