Je unaujua UKIMWI huu?

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
UKIMWI kama inavofahamika ni Upungufu wa kinga mwilini, na maambukiz yake almost wote tuna yajua, lakini kuna UKIMWI mwingine ambao hauambukizwi kwa ngono au namna za ukimwi wa kawaida, aina hii ya ukimwi unaitwa UKIMWI wa kupewa, ukimwi wa kutupiwa,kwa kifupi ni ukimwi wa kurogwa, na cha ajabu unakuwa sio ukimwi kihalisia ni ukimwi wa mazingaombwe, kila ukipima unaonekana unao kumbe we mzima kabisa, ukimwi aina hii hau ambukizi kwa sababu ni ukimwi bandia, ndio ukimwi ambao umekuwa ukipigiwa debe sana na watu wa tiba kuwa wanatibu ukimwi, ni ukimwi huu pia ambao mtu akiombewa anapona maana ni sehemu ya branches za mapepo, hatari ya ukimwi huu ni kunywa ARVs,maana huta maliza mwaka sababu unakunywa dawa wakati huna ugonjwa....


TAHADHALI-ikitokea ukapimwa ukimwi na ukaambiwa unao, hakikisha unatuliza akili yako na kutafakari juu ya mwenendo wako hasa wa kitabia,pili tafakari ukweli wake kwa mfano mnapima wewe na mpenzi wako alafu mmoja wenu unakuta anao na wewe huna au vise versa (ingawa jambo hili laweza kutokea ktk hali ya kawaida)lakini ni vema ukalipa kipaumbele nalo pia.jaribu kufikir kama ni ukimwi unadhani umeutoa wapi, tatizo kama hukutulia ulikuwa kiruka njia itakuwia vigumu kutafakari maana utaamini tabia yako ndio matokeo yake.

TIBA- watafute wachungaji wakufanyie maombi,au
kama imani ipo kidogo basi waganga wachache wanatoa hali hiyo na ukipima utakuta negative.

Anaye jua zaidi anakaribishwa
 
Angalia usipotoshe wagonjwa waache kutumia dawa waende kwenye maombi
 
I hope this was meant to be joke and that you don't actually believe that mtu anaweza kurogwa akapata ukimwi.
 
@="chief72,

acha imani za kishirikina....ukimwi wa kupewa halafu unaonekana kwenye vipimo vya kitaalam!!! kama una ukimwi unao tu msisingizie ushirikina.
 
Kweli Uhuru wa maoni unachangamoto.Huyu mtoa mada ana lake jambo.Yatupasa kutafakari kabla ya kuamua
 
Mimi nimewai kushuhudia ni kweli hili lipo niliwai kuuguza mgonjwa ameugua zaidi ya miaka 6 na vipimo vilikua vinaonyesha ana virusi vya ukimwi lakini alienda kwa mganga na kutibiwa akapona mara ya mwisho nilimsindikiza kupima akakutwa hana HIV
 
Back
Top Bottom