Je, unatakiwa kuwa mwanamke aina gani?

Je, unatakiwa kuwa mwanamke aina gani?

Japo mapenzi hayachagui umri, tawala, dini, kabila, desturi, mila...ila kuoa mwanamke mzee ni jau 😂😂😂 na hata ikitokea basi mwanamke awe wa udongo mzuri walau kama Zarina Hassan. Pale tunaweza kuyajenga ila vitu vya ajabu ajabu hapana.
 
Huyo anakuigizia tu. Hakuna upendo wa dhati hapo

Mkuu yupo jamaa yangu ana mke wake wanaishi vizuri kabisa, jamaa kazidiwa almost 5yrs ila kwa jinsi wanavyopendana aisee.

Ingekuwa yupo na mtu wa chini kiumri nadhani ndoa ingeshaingia dosari ila kwa huyo mdada wanaishi vizuri kabisa aisee.
 
Sawa
niwatakie kila la kheri
 
Mbona gape ya miaka mitano ni fair kabisa...

Mwanamke niliyemzidi au aliyenizidi miaka mitano kwa nini nisioe...

Cc: mahondaw
 
Mbona gape ya miaka mitano ni fair kabisa...

Mwanamke niliyemzidi au aliyenizidi miaka mitano kwa nini nisioe...

Cc: mahondaw

To be honest life has no formula kwa kweli. Unaweza ukapata mwanamke aliyekuzidi umri na mkajikuta mnadumu ndani ya ndoa na mkawa na amani, furaha na upendo ndani yake.

Na unaweza ukapata mwanamke aliye umri sawa na wewe au uliyemzidi umri lakini kusiwe na amani, furaha wala upendo ndani ya ndoa.

Kiufupi mapenzi ni upendo wenu tu wawili vile mtakavyopendana lakini masuala ya miaka sjui nani kamzidi nani mie huwa wala sioni kama ni hoja ya msingi ati. Kikubwa ni upendo na heshima tu iwepo.

Japo mwanamke asizidi saaaana mpaka ikaonekana kama wee ni mtoto wake, yaani azidi kidogo ionekane kama ni mdada flani tu hivi hapo haina tatizo hata.
 
Back
Top Bottom