Je, unatakiwa kuwa mwanamke aina gani?

Je, unatakiwa kuwa mwanamke aina gani?

Kwa wanaume nina swar je unaweza kuoa mwanamke ambae amkuzd miaka zaid ya miaka mitano
Na je unaweza kuoa mwanamke ambaye umezid miaka zaid ya miaka mitano au sita ipi inakua bora hapo
Una utoto hauko tayari kwa ndoa, au ukitaka kuoa nakushauri uoe mwanamke aliekuzidi umri,akili na elimu ili akuongoze maana huwezi kujiongoza
 
Back
Top Bottom