Hussein Rubaka
Member
- Nov 20, 2016
- 13
- 7
- Thread starter
- #21
Mhhhhhh hizo si ndala za mtumba umeongeza shanga tu?
Hata hivyo bei yako ni sawasawa na ninunuazo mtumbani.
Anyways...biashara njema mkuu.
Mhhhhhh hizo si ndala za mtumba umeongeza shanga tu?
Hata hivyo bei yako ni sawasawa na ninunuazo mtumbani.
Anyways...biashara njema mkuu.
Nimependa ulivyojibu,usikatishwe tamaa
Ubunifu mzuri sana
Keep it up zifanyie na packaging kabisa pamoja na jina