Hussein Rubaka
Member
- Nov 20, 2016
- 13
- 7
Niko mikoani hiyo CD napataje?Unachangia elfu 5000/= ndugu
Tunatumia Usafiri wa mabasi ya mikoani kukufikishia mahala ulipo ndugu@Niko mikoani hiyo CD napataje?
Asante nduguKeep it up
CD elfu tano nduguCD bure au kuna pesa mtu anachangia?
nikweli lakini za aina hii huzipati kokote ispokua kwangu tu.Mhhhhhh hizo si ndala za mtumba umeongeza shanga tu?
Hata hivyo bei yako ni sawasawa na ninunuazo mtumbani.
Anyways...biashara njema mkuu.
Nimependa ulivyojibu,usikatishwe tamaanikweli lakini za aina hii huzipati kokote ispokua kwangu tu.
Asante sanaNimependa ulivyojibu,usikatishwe tamaa
Ubunifu mzuri sana
Keep it up zifanyie na packaging kabisa pamoja na jina