swala la hela lizzy sio hela nyingi maisha ni hela kumbuka yaani hela za kusababisha maisha yasonge mdogomdogowatu waliowazunguka nao wana impact kwa maana kwamba sidhani kama kuna mtu anapenda kusumbuliwa na ndugu labda wa mpenzi wake bila sababu kumbuka sio wote vichwa panziPesa inategemea na kiasi unachongelea. Kama ni nauli ya daladala na pesa ya soda mnapokutana sawa ntakubaliana na wewe kwamba angalau mmoja wenu awe kwenye position ya kusababisha hayo. Kama unaongelea nyingi (movie mlimani. . shopping posta. . vacation Zanzibar etc ) sikubaliani na wewe kwamba ni lazima kwasababu haiapply kwa kila mtu. Ni kwa wale tu wanaoingia kwenye mahusiano wakitegemea kupandishwa chati na huyo mwenzake.Kuhusu watu wanaowazunguka vile vile sikubaliano nalo unless wenye hayo mahusiano ni vichwa panzi. Kwamba wanaendeshwa na maneno pia matakwa ya watu wengine. Otherwise haijalishi umezungukwa na kina nani. . . kama unajua unachokitaka na jinsi ya kukiweka kilivyo bila kujali watu wengine wanasema/taka nini ,mahusiano yako yatasurvive mpaka pale mtakapoamua wenyewe kwamba sasa basi.
Watu huwa wanaiba Business Plan za wenzao halafu wanaenda ku-implement idea ndio maana ile Business Plan yangu sijamshirikisha Maskini Jeuri...Tena kabla hujainvest uandae business plan ya kueleweka. Msisahau kila transaction inabidi irekodiwe. Monthly reports nazo muhimu. Kuinvest si shughuli ndogo.
Really??mahusiano ni uwekezaji/investmentna kama investment nyingine ili iwe succesfull vitu vifuatavyo vinaitajika1-capital-pesa ni muhimu ili mapenzi yenu yaweze kusimama kama wallet inasoma sifuri nadhani majibu yake mnajua2-human resources-watu nao wana impact kubwa ili mahusiano yawe imara ,kwanza nyie wenyewe na watu waliowazunguka3-time ni lazima muwe tayari kudedicate muda wenu ili mahusiano yadumu sio kila siku mtu yupo bize bize kama mim4 place eneo la tukio nalo linacount sana kwenye mahusiano kama mpo mbalimbali au mpo eneo mmoja yote yana matokeo flani kwenye mahusiano5 mnaweza kuendelea kabla sijarudi wakuunb kama hujajipanga ni bora ukasubiri
swala la hela lizzy sio hela nyingi maisha ni hela kumbuka yaani hela za kusababisha maisha yasonge mdogomdogowatu waliowazunguka nao wana impact kwa maana kwamba sidhani kama kuna mtu anapenda kusumbuliwa na ndugu labda wa mpenzi wake bila sababu kumbuka sio wote vichwa panzi
Really??
Watu huwa wanaiba Business Plan za wenzao halafu wanaenda ku-implement idea ndio maana ile Business Plan yangu sijamshirikisha Maskini Jeuri...