Just because hujaona kazi ya mtu bongo movie haimanishi ndo hajui... Nimeweka link hapo kwenye post go check it out and see for yourselfMbona hatujaona kazi zako hata kwenye Bongo movie zetu angalau kubadilisha ladha?? we utakuwa wale wale tu.
Just because hujaona kazi ya mtu bongo movie haimanishi ndo hajui... Nimeweka link hapo kwenye post go check it out and see for yourself
Just because hujaona kazi ya mtu bongo movie haimanishi ndo hajui... Nimeweka link hapo kwenye post go check it out and see for yourself
Nelson Richard AKA Michael NgusaHiyo link mbona ni image captures tu? nilitegeema kuona Demoreel, kuona Live scene-3D integration, kuona shots. Coz 3D graphics mtu yeyote anaweza hata kwa Cinema 4D au AE. Demo yangu hii hapa, kwa kiwango changu: https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860
Mimi nimekutana na hiki........
Preta, check the videos nimeweka kwenye threadMimi nimekutana na hiki........
Brother wickerman, xup!! If you ask me, i think u should just put some time na ufanye regardless what people say!
kuna this animator ambae i learn from, he just makes awesome contents, Books, reference files, plugins na stuff like dat
bac 2, most contents ni free ila books na reference packs anaziuza he just posts em so atakaenununua ananunua, pia anaongeza hio kwene list of things he's achieved! I think kama una time jus go HAM and do it!
Hiyo link mbona ni image captures tu? nilitegeema kuona Demoreel, kuona Live scene-3D integration, kuona shots. Coz 3D graphics mtu yeyote anaweza hata kwa Cinema 4D au AE. Demo yangu hii hapa, kwa kiwango changu: https://www.youtube.com/watch?v=tHfbe6OE860
rafiki yangu wickerman,nakushauri tu kiroho safi uachane na kuwafurahisha wabongo.hizo tutorial za kiswahili unazopanga kuzifanya hazitakusaidia kitu,wekeza mda wako ktk kufanya mazoezi ili uboreshe kipawa chako,ji-markert na mwisho wa siku ukitumie kukuingizia mkwanja.wabongo watakuvunja moyo,watakudharau na mwisho wa siku watakuchukulia kawaida.wengi hujifanya wajuaji wakati hawajui.
Am joining you jamani yaani hakuna kitu inayoniumiza kichwa kama hiyo sababu natamani sana kuja kuwa na ofisi ya videos production u photographer upo damuni yaani nimeziona hizo graphics za jamaa hadi nimefurahiusimkatishe tamaa wapo wabongo ambao wapo serious
Heshima kwako mkuu nimekubaliNimeona, and if everything is from scratch basi kibongo bongo you rock! ingawa kwa upande wa Autodesk Maya bado unayo safari. Ningekushauri u stick na package moja tu kuliko kudandia kila kinachokuja k.v. MODO, Mari nk. (niliona kwenye FB yako). According to my intensive research, hakuna product itakuja kuzimisha moto wa hii package: Maya, Nuke, zBrush na AE (pamoja na plugins zake of all time). Vitu kama 3DS Max, Fusion ni kupoteza muda.
Mkuu u seem to have some knowledge in the field, but uliposema kuwa 3ds max nikupoteza muda, hapo ndo nilipoona umekosea kabisa, na "intensive research " yako bado sio intensive, unaonekana kukariri jinsi mambo yanavyokwenda, nimetumia Maya for most of the year 2013 ndo nikaproduce the " CG Jet Bombing" video, ukichek movie kama 2012 most of the destructions zilifanyika kwa kutumia 3ds max. Anyways, kuhusu hyo kurukia rukia software, incase you don't know ni vizuri kujaribu jaribu tools uone kama kuna ambayo itakurahisishia mambo, don't be a software fanboy. Kila package inafaida yake kwasababu kupata yenye features zote Na interface nzuri ni ishu, ndo maana Maya inatamba sana kwasababu ya animation features zake, Nuke kwa system yake ya node based compositing, AE kwa layer based compositing, cinema4D kwa motion graphics features zake, 3ds Max kwa kuwa na a vast community of plugins na kufanyia heavy simulations... So usikariri kuwa Maya, Nuke, na AE ndo kila kitu. Maya ni nzuri sema ndo ambayo inaongoza kwa kuwa na user interfance mbaya ( kama ukibisha hili basi hujatumia Maya ) na ndo kitu ambacho kinasumbua wengi wanaotaka kujifunza maya, interface haina mpangilio ambao ni user friendly, there is no a complete package. Nuke yenyewe ni a very powerful compositing package, lakini kuna very useful formats bado haisupport mfano ".rpf" i know this kwasababu nimeitumia Nuke...Nimeona, and if everything is from scratch basi kibongo bongo you rock! ingawa kwa upande wa Autodesk Maya bado unayo safari. Ningekushauri u stick na package moja tu kuliko kudandia kila kinachokuja k.v. MODO, Mari nk. (niliona kwenye FB yako). According to my intensive research, hakuna product itakuja kuzimisha moto wa hii package: Maya, Nuke, zBrush na AE (pamoja na plugins zake of all time). Vitu kama 3DS Max, Fusion ni kupoteza muda.
rafiki yangu wickerman,nakushauri tu kiroho safi uachane na kuwafurahisha wabongo.hizo tutorial za kiswahili unazopanga kuzifanya hazitakusaidia kitu,wekeza mda wako ktk kufanya mazoezi ili uboreshe kipawa chako,ji-markert na mwisho wa siku ukitumie kukuingizia mkwanja.wabongo watakuvunja moyo,watakudharau na mwisho wa siku watakuchukulia kawaida.wengi hujifanya wajuaji wakati hawajui.