Kind
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 247
- 40
Je? unataka kudumu na "Mpenz" wako?
basi ishi nae kwa mambo '8' kama haya
1". Kila unaporudi safari jitahidi kumchukulia zawadi hata kama pipi
2".Pendelea sana kumtania"mpenz"wako kimahaba.
3" Epuka kununanuna ovyo ukiwepo na"mpenz"wako.
4"Weka tabia ya kumsifu"mpenz"wako muda wowote.
5"Pendelea kutambua matatizo yake
6"Usipendelee kukumbusha ya zamani
7"Fikiria mema yake kabla ya kuhesabu mabaya yake
8"Mliwaze anapokasirika.