Je unataka ku update Tecno Camon C8 yako?

Je unataka ku update Tecno Camon C8 yako?

Yaan Mimi hiyo mifumo yao ishanizingua maana Niki update hios inaniwekea hi manager tu yaan hata siielew
Hizo update zipo mbili kuna waliyo itoa mwanzo hiyo Hi manager, halafu kuna marshmallow yenye Hios. Ambayo ina mb 868. Lkn wengi walio iweka wanaishia kulala mika tu, afadhali ubaki na hiyo lollipop tu.
 
Salamu wapendwa,simu yangu ni boom j8,kila nikiwasha data inataka niiupdate,nikifanya hivi inaenda vizuri mpaka ina boot,mwisho inasoma failled,naombeni msaada wapendwa
 
Huo mfumo ni mzuri lkn una bugs za kufa mtu, wewe kama una lollipop tulia huko huko kwanza jamaa watoe final update ya huo mfumo kwenye C8,maana hata wao wameliona hilo wakatoa update jinsi ya kurudi kwenye lollipop. Na kama una huo mfumo hakikisha hiyo update uliyo dawnload ikikamilika inakuwa na 867.94 MB.Kama umepata chini ya hapo chunguza vizuri simu yako ipo sehemu itakuwa na shida.
Hiyo final update inatoka lini mkuu?walisema watatoa final update?
 
Back
Top Bottom