kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Kwa dunia ya sasa hakuna kitu rahisi kujifunza kama programming(kama kweli unaipenda). Programming nivkativya discplines rahisi sana kujifunza kwa sababu zifuatazo.Mkuu napenda sana kuwa mtalaamu wa haya programming language.
Naomba msaada wako mkuu.Hatua kwa hatua.
Nitafanyia kazi ushauri wako mkuu.Pale ambapo sielewi nitakutafuta au vipi mkuu tushee namba unipege miongozo.Kwa dunia ya sasa hakuna kitu rahisi kujifunza kama programming(kama kweli unaipenda). Programming nivkativya discplines rahisi sana kujifunza kwa sababu zifuatazo.
1)Resources ziko nyingi sana mtandaoni kiasi kwamba kama ww unapenda kujifunza basi katika website unazozitembelea wakati ukiwa na bando ongezea websites za kujifunza programming kama vile w3schools.com github.com na pia uliza maswali google kila unaposhindwa nao watakupeleka sehemu kama vle stackoverflow.com ambapo karibia kila swali ambalo unawezakua nalo ww kama beginer limeisha ulizwa na kujibiwa na wataalamu wa coding.
So usisubiri kufundishwa coz mtu akishakua programmer kweli basi anakua bize sana, ni wachache wanaoweza kupata muda wa kusema akae na ww akufundishe unless iwe ndo kazi yake kufundisha
2)Programming ni kitu cha logic tu. Get the logic, fatilia common features za programming languages zote (zilizo famous na useful) then itakua rahisi ww kujifunza technology yyt mpya be it flutter, react-native, swift, erlang, au programming language yyt itakayotengenezwa miaka ijayo.
Unajua kwa sasa duniani hakuna chuo kizuri kama google na youtube, Usisubiri kufundishwa, soma kitu na usipoelewa iulize google nayo itakupa majibu yote hata kama swali lako ni simple kiasi gn. Kwa sasa hata developer aliesomea kwa maprofessa DIT au UDSm anaweza kupigwa gap la maana na developer mwenye nia anaetumia internet kujifunza. So love learning, keep practicing
Happy coding.
JF ilikuwa ya zamani. Humu hata ukiuliza mambo ya website na blog hawataki hata kusikia wao wanataka waendelee kupiga mpunga pekee yao. Nimejifunza mengi sana humu na hata nikikwama vipi siwezi kumuuliza mtu.Jf watu hawapendi hizi mambo, Jf ya siku hizi leta udaku tu ndo utaona wadau. Mm nilianza humu na ili kuwasaidia watu zaidi nikafungua hadi group telegram, cha kushangaza watu wa humuhumu jf wanajiunga na group af wengine wanaanza kupost porn za youtube, matangazo na madude mengine ya ajabu ajabu tu kwenye group, I was really distracted na nkaachana nao kabisa for good.
Kiukweli ukiwa bongo ni vigumu sana kutoboa kama skills zako za programming ni za kawaida, unless upate mchongo uende nje, na nje hauendi kama skills zako ni za kawaidaKiukwel mm nimefanya Sana programming na Nina project nimezifanya ili ziniingizie kipato.
Na zilikua Zina solve real problem katika jamii
Chnagamoto niliyokutana nayo ni kwamba watanzania wengi hawana elim ya computer na hawako tayar kutoka kwenye manual work , ukimpelekea system ya computer kwa ajili ya kusolve matatizo anaanza kukifikiria mpaka akajifunze computer inakua tabu.
Changamoto nyingine niliyokutana nayo kua watu wengi hawapendi uwazi wa mambo yao wanayofanya ujanja ujanja mwingi , mwingine anafikiria kua boss wake atajua Kila kitu kinachofanyika kwa hiyo hakupi ushirikiano kabisa .
Kwa sababu sikua tayar kuajiriwa nikaona napoteza muda tu nikaamua kuachana na programming
Sasa hivi ni nafanya biashara nyingine tu
hahaha...Jf watu hawapendi hizi mambo, Jf ya siku hizi leta udaku tu ndo utaona wadau. Mm nilianza humu na ili kuwasaidia watu zaidi nikafungua hadi group telegram, cha kushangaza watu wa humuhumu jf wanajiunga na group af wengine wanaanza kupost porn za youtube, matangazo na madude mengine ya ajabu ajabu tu kwenye group, I was really distracted na nkaachana nao kabisa for good.
karibu mkuuAsante mkuu.
Nipatie Mimi hizo channels.Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course unaweza kuongeza ujuz wako.kama kunatakaye hitaj nimpatie hizo channel apate kujifunza anichek free kabisa
Naona unaandika kama umemeza kwa ajili ya pepa ya UCC. Mambo sio rahisi kama ulivoandika arif. Kuna kamtiti kidogo kufika hizo levo unazosema za udeveloper sijui nini .... Kwangu mm naamini to be good at programming ni zaidi ya kujua hizo lugha.Duh. Tuanze wapi. Naamini kuna intention nzuri behind this post ila kama wengine walivyosema programming is not easy, and post kama hizi zina oversimplify vitu.
Ila ...
1. Html5 is a markup language, MySQL is a database, SQL is a domain language, CSS is a stylesheet language, but I digress
2. Java and Javascript are not related
PS. CSS could be the most difficult thing even to the most seasoned developers
Naona unaandika kama umemeza kwa ajili ya pepa ya UCC. Mambo sio rahisi kama ulivoandika arif. Kuna kamtiti kidogo kufika hizo levo unazosema za udeveloper sijui nini .... Kwangu mm naamini to be good at programming ni zaidi ya kujua hizo lugha.
huna maana wewe na mungu akusaidie pumbafuuu..weweunaangalia tuu wenzako walipokosea
Mkuu kupitia elimu ya Darasani pamoja na mimi mwenyewe kujisomea naweza kusema mimi ni developer Mzuri kwa maananafahamu lugha za Javascripts,Php, html ambayo ni mark up language pamoja na java kwa asilimia 95%Naona unaandika kama umemeza kwa ajili ya pepa ya UCC. Mambo sio rahisi kama ulivoandika arif. Kuna kamtiti kidogo kufika hizo levo unazosema za udeveloper sijui nini .... Kwangu mm naamini to be good at programming ni zaidi ya kujua hizo lugha.
Hongera zako mdau. Ila kiufupi ni kwamba baada ya kuiva katika hayo yote. Itapendeza ukitafuta some kind of domain... Mfano... Unajikita ktk teknolojia za kompyuta ktk kusovu labda problem za mambo ya afya ...then hapo unaapply uwezo wako wa mocoding( huo mfano tu). Mimi naamini coder ni kama mwanamziki hakuna kustaafu. Nikujiupdate kila siku uchwao. Utakula maisha hata kama ukiwa na miaka 100.Mkuu kupitia elimu ya Darasani pamoja na mimi mwenyewe kujisomea naweza kusema mimi ni developer Mzuri kwa maananafahamu lugha za Javascripts,Php, html ambayo ni mark up language pamoja na java kwa asilimia 95%
mkuu wewe ukinipa wazo mimi nalifanya tunapiga helaa kama un idea ya wazo fulani nambieHongera zako mdau. Ila kiufupi ni kwamba baada ya kuiva katika hayo yote. Itapendeza ukitafuta some kind of domain... Mfano... Unajikita ktk teknolojia za kompyuta ktk kusovu labda problem za mambo ya afya ...then hapo unaapply uwezo wako wa mocoding( huo mfano tu). Mimi naamini coder ni kama mwanamziki hakuna kustaafu. Nikujiupdate kila siku uchwao. Utakula maisha hata kama ukiwa na miaka 100.
Mkuu Nipatie hizo channel.Hizi ishu za programming kwa mm hapa naona ni za msingi sana na nimezifwatilia kwa karibu ilinijifunze programing katika pitapita zangu kutaka kujua programming nimekutana na channel kadhaa za telegram ambazo zinatoa course za kulipia za programming kutoka udemy bure ambapo kweny hizo course unaweza kuongeza ujuz wako.kama kunatakaye hitaj nimpatie hizo channel apate kujifunza anichek free kabisa