Je, unapenda kujifunza kuogelea?

Je, unapenda kujifunza kuogelea?

Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari, uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa na magonjwa ya moyo.

Tunafundisha strokes(styles) zote kwa wanaoanza na wanaojua kuogelea kuanzia umri wa miezi 9 na kuendelea.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia nambari; 0659 154 681.
matapeli tu nyie hamna swiming pool mnadoea za watu
 
okey asante

Watu wanataka majibu wawe wanafunzi wako, fursaa hii mkuu.
Nenda kwenye pools ongea nao mkubaliane huweke darasa hapo,uingize kipato kwa majibu yako watu wanazidi shawishika kuwa hujajipanga
 
weka makadirio ya bei.. mfano mtoto wa miezi 9 umeshajua nini mahitaji yake, je huyo itaghalimu kiasi gani? Mtu mzima miaka 40 ambaye hajawihi kujifunza hata kidogo..pia itamghalimu kiasi gan? Weka japo mwangaza wa bei kidogo, pia ni wapi hayo mafunzo yatatolewa maana si wote tuna mabwawa ya kuogelea majumbani ila tunatamani kujua kuogelea.
 
Back
Top Bottom