Je, unapenda kujifunza kuogelea?

Je, unapenda kujifunza kuogelea?

Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari, uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa na magonjwa ya moyo.

Tunafundisha strokes(styles) zote kwa wanaoanza na wanaojua kuogelea kuanzia umri wa miezi 9 na kuendelea.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia nambari; 0659 154 681.

mpo tanzania nzima maana hata location hutaji... umekimbilia mawasiliano

muda na vinginevyo ni lazima kwenye tangazo hili tangazo lako halipoki karibishi zaidi lipo kama kejeli au jaribio kwamba wangapi watarespond..... acha majaribu bring the streight point we can talk....

"Rakims"
 
Umri wa juu kujifunza kuogelea ni miaka mingapi?
 
Ngoja nije kujifunza namna ya kupiga mbizi na kuyakata maji kwa kasi...ili niwe naokoa nauli nipatapo safari za Zanzibar na kigamboni...
 
Umri wa juu kujifunza kuogelea ni miaka mingapi?
watu wanaweza kuendelea kujifunza kuogelea hata wakiwa na miaka tisini kwani kuogelea ni mazoez muhimu sana. ila umri ni kulingana na hali ya mtu husika.
 
Back
Top Bottom