Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari wana JF..
Mimi ni mdada, nilianzisha mahusiano na kijana mmoja aliyenizidi zaidi ya miaka 10, wakati naanza nae mahusiano sikuwa serious ,nilitaka tu aniondolee stress nilizokuwa nazo kwa kipindi icho baada ya kuachana na mpenzi wangu zaidi ya mwaka mmoja, kipindi chote icho sijawahi kuwa na mahusiano.
Sasa baada ya kukutana na huyu kijana,nimeshangaa mwenzangu kaning'ang'ania na kila nikitaka kutoka mikononi mwake inashindikana.Kwa upande wake yeye ana mtoto mmoja mwenye miaka 8 anaishi na mama yake (mama mtoto) ambaye hawana mahusiano tena na kila mtu anaishi kivyake.
Baada ya kupita kama miezi 3 toka nimeanza kuwa nae kimahusiano ameanza kuniomba nimzalie mtoto ila mimi najiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu...Je ni kweli ananipenda au mtoto ndo msukumo wa kuwa na mimi ingawaje ananambia yupo tayari kwenda nyumbani kujitambulisha...Ila topic yake kubwa nimzalie mtoto.
Kitu kingine kinachoniogopesha alinambia kuwa miaka mi4 iliyopita aliwahi kupata ajali akaumia mguu, docta akamwambia uwezekana wa yeye kupata mtoto kwa kipindi icho ni mgumu sana labda mpakaumdae upite, eti ndo mana ananiomba ajaribu kama ataweza kuzaa tena ndo afanye process nyingine za kwenda nyumbani....
Nisaidieni kutafakari juu ya hili...

Last edited by a moderator: